#MapenziMubashara: Amber Rose na Wiz Khalifa walivyotangaza kurudiana(Picha+)

Amber Rose na Wiz Khalifa warudiana. 'Mavi ya kale hayanuki' msemo huu unakuja sanjari na tukio hili lililotokea siku ya ijuumaa mara baada ya...

Mfahamu Mwanamuziki Adele, historia yake na Muziki kwa ujumla

Karibu na leo nimekuandalia historia ya Msanii Adele. Adele ni mwanamuziki na mwandishi wa nyimbo kutokea Uingereza ambaye alijipatia umaarufu mkubwa kutokana na Kipaji na...

Picha: Paul Pogba anunua jumba la kifahari lenye thamani ya £3m

Mchezaji Paul Pogba baada ya kuishi kwenye hoteli ya Lowry kwa zaidi ya miezi sita tangu aliposajiliwa na Manchester United mwanzoni mwa msimu huu,...

HistoriaLeo: Mfahamu Josee Chamelion nguli wa Muziki kutoka Africa

Josee Chamelion ni moja kati ya wakongwe wa muziki hapa barani africa, na Mchango wake katika muziki wetu hapa Africa ni Mkubwa mno. Jina lake...

Mwanamieleka wa WWE Jimmy ‘superfly’ Snuka afariki dunia

Mwanamieleka wa WWE,Jimmy Snuka alimaarufu kama 'Superfly' amefariki akiwa na umri wa miaka 73. Wakili wake amesema mwanamiereka huyo aliaga dunia akiwa katika nyumba ya...

TheEnd: To confirm, yes I am single -Nicki Minaj

Baada ya kuwa na tetesi za kuachana kwa hiphop Couple ya Nicki Minaj(34) na Meek Mill(29), Jan 5 2017 tumepata kauli ya mwisho kutoka...

Historia Leo: Lifahamu kundi la muziki lijulikanalo kama UB40

Ninapoongelea UB40 hapana shaka kwa wewe mpenzi wa burudani ya Muziki utakua unajua anwaongelea wakina nani.  Kwa namna moja ama nyingine utakua umekwisha kusikia...

Oliver Mtukudzi picha Halisi ya Muziki wa Kiafrika.

Linapotajwa jina la wimbo wa “Neria” basi kila mmoja wetu atakua na mawazo mawili tofauti ambayo yote humuongelea Nguli wa muziki wa Kiafrica na...

Historia: Mfahamu mwanamuziki Gyptian Mkali wa reggae Kutoka Jamaica

Kwa majina kamili anajulika kama Windel Beneto Edwards a.k.a Gyptian na alizaliwa tarehe 25 October 1983 huko nchini Jamaica. Ni mwimbaji wa Muziki aina ya Raggae(Dancehall). Alizawa...

Historia leo: Mfahamu Msanii Eddy Kenzo kutokea Uganda

Edrisah Musuuza kwa jina Maarufu anajulikana kama Eddy Kenzo amezaliwa huko Masaka nchini Uganda.  Mama yake alifariki kipindi ambacho Eddy alikua na miaka minne(4)...