Nikki wa Pili aonesha utofauti wake na Joh Makini

Rapa Nikki wa Pili ambaye hivi sasa bado anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Sweet Mangi' amefunguka na kusema kuwa kimuziki kati yake yeye...

Jackie Chan apewa tuzo ya heshima ya Oscar Baada ya miaka...

Mwaka 2016 umekua mwaka mzuri na bora kwa nyota wa Filamu ulimwenguni Jackie Chan mara baada ya nyota huyo kutoka katika jiji la Hong Kong...

Historia: Mfahamu mwanamuziki Gyptian Mkali wa reggae Kutoka Jamaica

Kwa majina kamili anajulika kama Windel Beneto Edwards a.k.a Gyptian na alizaliwa tarehe 25 October 1983 huko nchini Jamaica. Ni mwimbaji wa Muziki aina ya Raggae(Dancehall). Alizawa...

Mfahamu Mwanamuziki Adele, historia yake na Muziki kwa ujumla

Karibu na leo nimekuandalia historia ya Msanii Adele. Adele ni mwanamuziki na mwandishi wa nyimbo kutokea Uingereza ambaye alijipatia umaarufu mkubwa kutokana na Kipaji na...

Rapper Kanye West Kuchuana na Donald Trump 2020?

Katika interview aliyofanyiwa na kituo cha BBC na mtangazaja aliye julikana kwa jina la Annie Mac, rapper mkongwe nchini Marekani Kanye Kanye West alithibisha kugombania...

Oliver Mtukudzi picha Halisi ya Muziki wa Kiafrika.

Linapotajwa jina la wimbo wa “Neria” basi kila mmoja wetu atakua na mawazo mawili tofauti ambayo yote humuongelea Nguli wa muziki wa Kiafrica na...

Picha: Paul Pogba anunua jumba la kifahari lenye thamani ya £3m

Mchezaji Paul Pogba baada ya kuishi kwenye hoteli ya Lowry kwa zaidi ya miezi sita tangu aliposajiliwa na Manchester United mwanzoni mwa msimu huu,...

Mr.Blue picha halisi ya Muziki wa bongo-flava.

Mr.Blue, Khery Sameer Rajab (amezaliwa tar. 14 Aprili 1987) ni msanii wa muziki wa R&B na Bongo Flava kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa...

Historia Leo: Lifahamu kundi la muziki lijulikanalo kama UB40

Ninapoongelea UB40 hapana shaka kwa wewe mpenzi wa burudani ya Muziki utakua unajua anwaongelea wakina nani.  Kwa namna moja ama nyingine utakua umekwisha kusikia...

Muziki umenipa nyumba zaidi ya mbili – Mr. Blue

Rapa Mr Blue ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake 'Mboga' saba aliomshirikisha Alikba amefunguka na kusema muziki wa bongo sasa unalipa ndiyo...