Picha: Rapa Nyandu Tozzy afunga ndoa kimya kimya

Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Kundi la BOB, Nyandu Tozzy amefunga ndoa kimya kimya na mpenzi wake wa muda mrefu. Rapa huyo ambaye...

Najiamini hata pasipostahili–Ney wa Mitego

Msanii Ney wa Mitego amesema maisha aliyokuwa anaishi yamemjengea ujasiri na kujiamini hata pasipostahili, na ndio kitu kikubwa kilichomfanya aweze kufanya muziki wa tofauti...

Picha: Tizama Muonekano mpya wa Rapper Kanye West

Kati ya marapers ambao wamechukia tension kubwa katika medias tofauti tofauti ulimwenguni kote kwa mwaka 2016 basi hutoacha kumtaja Rapper Kanye West. Kanye West aliruhusiwa...

Justin Bieber na mpenzi wake Sofia Richie waachana

Penzi la mwanamuziki maarufu ulimwemguni Justin Beiber na Sofia Richie ambaye ni mtoto wa mwanamuziki mkongwe nchini Marekani Lieonel Richie Limeingia wenda wazimu na...

Mwanamieleka wa WWE Jimmy ‘superfly’ Snuka afariki dunia

Mwanamieleka wa WWE,Jimmy Snuka alimaarufu kama 'Superfly' amefariki akiwa na umri wa miaka 73. Wakili wake amesema mwanamiereka huyo aliaga dunia akiwa katika nyumba ya...

Wapo watu wanatamani nifeli – Sam wa Ukweli

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye awali aliwahi kutamba na wimbo 'Sina Raha' amefunguka na...

Mfahamu R.Kelly na maisha yake ya Muziki kiujumla

Kwa majina kamili ya huyu mfalme anajulikana kama Robert Sylvester Kelly a.k.a R.Kelly. Jina lake sio geni miongoni mwa wapenzi wa burudani ya muziki...

#MapenziMubashara: Amber Rose na Wiz Khalifa walivyotangaza kurudiana(Picha+)

Amber Rose na Wiz Khalifa warudiana. 'Mavi ya kale hayanuki' msemo huu unakuja sanjari na tukio hili lililotokea siku ya ijuumaa mara baada ya...

Oliver Mtukudzi picha Halisi ya Muziki wa Kiafrika.

Linapotajwa jina la wimbo wa “Neria” basi kila mmoja wetu atakua na mawazo mawili tofauti ambayo yote humuongelea Nguli wa muziki wa Kiafrica na...

Historia ya Lucky Dube, Mkali wa Raggea ambaye aliwahi kuishi.

Ninapo litaja jina la Lucky Dube ni wazi kwamba utakua unafahamu moja kwa moja namzungumzia nani. Ni moja kati ya wana harakati walio tetea...