Wafahamu madancer Albir Rojas na Sara Lopez wakali wa ‘Kizomba dance’

Linapotajwa jina la ‘Kizomba’ basi kila mmoja haachi kumfkiria Albir Rojas na Sara Lopez maana wakali hawa ndio wenye KIZOMBA DANCE. Nianze na Albir Rojas:- Ni  dancer,...

Picha: Tizama Muonekano mpya wa Rapper Kanye West

Kati ya marapers ambao wamechukia tension kubwa katika medias tofauti tofauti ulimwenguni kote kwa mwaka 2016 basi hutoacha kumtaja Rapper Kanye West. Kanye West aliruhusiwa...

Tulieni Kim Kardashian na Kanye hawata achana-The Kardashians

Habari iliyoko katika mitandao mbali mbali na Vituo mbali mbali vya Burudani ulimwenuni ni ile ya Mke wa halali wa Rapper Kanye West anekwenda...

Historia leo: Huyu ndiye Gerald Levert

Nafahamu fika vijana wengi wanaotamba huku mitandaoni ni wale waliozaliwa miaka ya 90 nakuendelea, na naku-hakikishia ni Asilimia chache sana ya vijana walio katika...

Wasanii wa hip hop hatuna hela – Young Killer

Msanii wa Hip Hop nchini Young Killer amesema sababu zinazopelekea wasanii wa hip hop nchini kutokuwa na bifu ni kutokana na mafanikio madogo wanayoyapata...

Nikki wa Pili awaasa mafisadi, awaonya kuhusu kifo

Msanii Nikki wa Pili ambaye pia ni mwanazuoni anayetoka kundi la Weusi ambalo linafanya vizuri kwenye muziki wa Hip Hop, amewaasa mafisadi juu ya...

Wema anaangushwa na marafiki zake – Kadinda

Mbunifu wa mavazi kutoka Bongo, Martini Kadinda amesema hawezi kumchagulia Wema Sepetu marafiki wa kuwa nao karibu na hawezi kujiingiza kwa lolote katika ugomvi wao. Akipiga story...

Mr.Blue picha halisi ya Muziki wa bongo-flava.

Mr.Blue, Khery Sameer Rajab (amezaliwa tar. 14 Aprili 1987) ni msanii wa muziki wa R&B na Bongo Flava kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa...

Rapper Kanye West Kuchuana na Donald Trump 2020?

Katika interview aliyofanyiwa na kituo cha BBC na mtangazaja aliye julikana kwa jina la Annie Mac, rapper mkongwe nchini Marekani Kanye Kanye West alithibisha kugombania...

Jackie Chan apewa tuzo ya heshima ya Oscar Baada ya miaka...

Mwaka 2016 umekua mwaka mzuri na bora kwa nyota wa Filamu ulimwenguni Jackie Chan mara baada ya nyota huyo kutoka katika jiji la Hong Kong...