Gucci mane adai kwamba gereza lilimfanya yeye kuishi maisha ya sober

Rapper Gucci Mane anajivunia kuwa sober maana ni nyota/wasanii wakubwa wanashindwa kufurahia maisha bila madawa ya kulevya na mvinyo. Raper huyo wa Hip-hop nchini marekani...

Mwanamuziki Leonard Cohen, aliyeimba Hallelujah, afariki dunia

Mwimbaji na mtunzi mwenye sifa tele nchini Canada, Leonard Cohen, amefariki akiwa na umri wa miaka 82. Alizaliwa huko Montreal na kuanza taaluma ya utunzi...

Snoop Dogg Afurahia Bangi Kuhalalishwa California

Rapper mkongwe nchini marekani Snoop Dogg anapanga kuvuta bangi kila Siku baada ya Bangi kuhalalishwa huko California nchini marekani. Rapper Huyo mwenye Umri wa miaka...

Viongozi wa sasa wanaua watu- King Crayz GK

Rapa mkongwe kwenye muziki wa hip hop Tanzania King Crazy GK amefunguka na kusema kuwa viongozi wengi wa Afrika kwa sasa hawana uzalendo wala...

Muziki umenipa nyumba zaidi ya mbili – Mr. Blue

Rapa Mr Blue ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake 'Mboga' saba aliomshirikisha Alikba amefunguka na kusema muziki wa bongo sasa unalipa ndiyo...

Abby Skills awashukuru Alikiba na Mr. Blue

Msanii wa Bongo Fleva Abby Skills amesema anawashukuru sana wasanii Ali Kiba pamoja na Mr. Blue kwa kumrejesha kwenye game la muziki baada ya...

Picha: Rapa Nyandu Tozzy afunga ndoa kimya kimya

Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Kundi la BOB, Nyandu Tozzy amefunga ndoa kimya kimya na mpenzi wake wa muda mrefu. Rapa huyo ambaye...

Mkongo amvuruga Kadjanito, abadili na dini

Msanii wa Bongo fleva Khadija Said Maige maarufu kama Kadjanito amefunguka na kusema kuwa amepagawa na mapenzi ya Tresor Lisimo mchezaji wa mpira ambaye...

Nguli wa muziki wa afro jazz Kenya Achieng Abura afariki dunia

Mwanamuziki nguli wa nyimbo za mtindo wa Afro Jazz kutoka Kenya Achieng Abura amefariki dunia. Mwanamuziki huyo aliaga dunia akipokea matibabu katika hospitali kuu ya...

Nikki wa Pili aonesha utofauti wake na Joh Makini

Rapa Nikki wa Pili ambaye hivi sasa bado anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Sweet Mangi' amefunguka na kusema kuwa kimuziki kati yake yeye...