Singeli imenipa nyumba na gari – Man Fongo

Msanii wa muziki wa Singeli nchini Man Fongo amefunguka na kusema anashangaa mafanikio makubwa ambayo ameyapata...

Wapo watu wanatamani nifeli – Sam wa Ukweli

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye awali aliwahi kutamba na wimbo 'Sina Raha' amefunguka na...

Najiamini hata pasipostahili–Ney wa Mitego

Msanii Ney wa Mitego amesema maisha aliyokuwa anaishi yamemjengea ujasiri na kujiamini hata pasipostahili, na ndio kitu kikubwa kilichomfanya aweze kufanya muziki wa tofauti...

Janet Jackson,athibitisha ni mja mzito akiwa miaka 50

Mwana-Muzik Janet Jackson amethibitisha rasmi kwamba anatarajia kujifungua mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 50. Ameliambia jarida la People: "Tunashukuru Mungu kwa...

Justin Bieber na mpenzi wake Sofia Richie waachana

Penzi la mwanamuziki maarufu ulimwemguni Justin Beiber na Sofia Richie ambaye ni mtoto wa mwanamuziki mkongwe nchini Marekani Lieonel Richie Limeingia wenda wazimu na...

Historia ya Lucky Dube, Mkali wa Raggea ambaye aliwahi kuishi.

Ninapo litaja jina la Lucky Dube ni wazi kwamba utakua unafahamu moja kwa moja namzungumzia nani. Ni moja kati ya wana harakati walio tetea...

Mfahamu R.Kelly na maisha yake ya Muziki kiujumla

Kwa majina kamili ya huyu mfalme anajulikana kama Robert Sylvester Kelly a.k.a R.Kelly. Jina lake sio geni miongoni mwa wapenzi wa burudani ya muziki...

Mfahamu John Lennon na Historia nzima ya Kundi La The Beatles

Kama wewe ni mpenzi wa Burudani ya Muziki basi hapa nitakua nimekukuna Moyo wako maana utakua unafahamu naongelea nini leo. Leo nitazungumzia Juu ya...