Makala: Hifadhi za wanyama tulizo nazo ni Uzuri tosha wa Tanzania.

Ni kweli kabisa TANZANIA ni nchi iliyo barikiwa kuwa na vivutio vingi vya utalii vikiwepo vileee vya hifadhi za wanyama. Pata kuvijua hii leo.    Hifadhi...

Majina Ya Wanafunzi Waliopata Mkopo Baada Ya Kukata Rufaa Bodi Ya...

Bodi ya Mikopo imetangaza majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mkopo baada ya kukata rufaa kaitika Bodi hiyo kwa mwaka 2016/17 Bofya >>>> HAPA<<<< Kuyatizama majina...

Tizama matokeo ya Kidato cha Nne 2016 kwa haraka zaidi.

Leo January 31 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2016’ na matokeo ya mtihani wa maarifa (QT)...

Noti ya shilingi 500 itaendelea Kutumika -Benki Kuu (BoT)

Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuwafahamisha wananchi wote kuwa habari inayoenea katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba noti ya shilingi 500(mia tano) haitatumika tena...

Serikali yaunda tume kuchunguza kifo cha faru John

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda tume kuchunguza taarifa inayoelezea utaratibu uliotumika kumhamisha faru John kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Sasakwa Black Rhino Sanctuary iliyoko...

Tarehe ya uchaguzi mkuu Rwanda yatajwa

Serikali ya Rwanda imetangaza tarehe za uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika mwakani. Kulingana na tangazo la lililotolewa baada ya kikao cha baraza la mawaziri uchaguzi...

Christopher Ole Sendeka achaguliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 07 Desemba, 2016 alaifanya uteuzi wa Katibu Mkuu mmoja na Mkuu wa...

Jarida la New African lamtaja Rais Magufuli ‘Person of the Year’

Harakati na uongozi wake madhubuti hasa katika kupambana na rushwa, ufisadi na kuhakikisha uwajibikaji mkubwa wa viongozi na wafanyakazi, vimempa sifa kubwa Rais Dkt...

Waliohamishiwa UDOM kutoka St Joseph kurudia mwaka

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Imewataka wanafunzi wa St. Joseph walioamishiwa katika chuo kikuu cha Dodoma kurudia mwaka kwa kile kilichobainika kuwa na...

Rais John Pombe Magufuli Asaini Muswada wa Sheria ya Huduma za...

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 iliyopitishwa na Bunge...