Tizama List nzima ya Washindi wa Tuzo za Grammys 2017, Adele...

Usiku wa Kuamkia leo nchini Marekani, Kumefanyika hafla ya utoaji wa zile Tuzo Kubwa katika Burudani Grammys 2017 Awards. Utoaji wa Tuzo hizo ulifanyika...

#Music: Maino ft. Uncle Murda (Suicide Squad) – Gang Gang

Dubbing themselves the “Suicide Squad” Brooklyn's Maino and Uncle Murda link up for a new collaboration called "Gang Gang" produced by London On Da Track.

Huyu ndiye Msanii mwingine aliye-Sign na Rock Nation ya Jay Z

Jim Jones na Jay Z wameingia katika biashara ya pamoja. Taarifa hizi ziliwekwa wazi jana kupitia mtandao wa Twitter na zaidi ya yote Jim...

Penzi la Jennifer Lopez na Drake lavunjika

Jennifer Lopez amethibitisha kuachana na Drake wiki chache baada ya penzi lao kuwa wazi kwa mashabiki wa muziki na maisha yao. J lo ’47’ ametumia istagram...

Nyimbo za Bob Marley zapatikana baada ya miaka 40

Nyimbo zilizokuwa zimepotea za mwanamuziki Bob Marley, ambazo zilipatikana kwenye chumba cha chini cha hoteli mjini London baada ya zaidi ya miaka 40 zimetengenezwa...

Diamond, Alikiba na Navy Kenzo washinda tuzo za Hipipo za Uganda

Diamond Platnumz, Alikiba na Navy Kenzo wameshinda tuzo za Hipipo 2017 zilizotolewa siku ya Jumamosi 4/2/2017 nchini Uganda. Kwenye tuzo hizo, Navy Kenzo walitumbuiza. Hizi ndizo...

#REUNION: Young money is Back, Drake, Nick na Lil-Wayne kitu kimoja...

Tunasema Young Money is Back. Lile Kundi maarufu ulimwenguni ambalo lilikua likiundwa na Rappers wakali ulimwenguni kote yaani Nick Minaj, Lil-Wayne pamoja na Drake...

Calisah hafai kuwa model – Daxx Cruz

Mwanamitindo maarufu wa Tanzania ambaye shughuli zake kwa sasa anazifanyia nchini Afrika Kusini, Daxx Cruz amefunguka na kutaja vigezo vya mtu anayestahili kuwa mwanamitindo...

NewsAlerts: Video ya Marry You yake Diamond Ft Ne-Yo Kuachiliwa Rasmi...

Baada ya takriban miaka miwili tangu urekodiwe, hatimaye wimbo wa Diamond aliomshirikisha msanii wa Marekani, Ne-Yo, ‘Marry You’ unatoka rasmi, Jumatano hii. Ni Trace TV...

#Updates: Big Sean aachia List ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye album yake...

Rapper Big Sean kutokea Detroit pande za USA amaechia tracklist ambayo imeonyesha ngoma ambazo zitakuwepo kwenye album yake mpya “I Decided” ambayo itatoka hivi...