Kudukuliwa kwa akaunti za Sony kwasababisha Britney Spears kuzishiwa kifo

Akaunti ya Sony Music Twitter yadukuliwa tena, na Safari hii wadukuzi wakubwa Marekani wajulikanao kama "OURMINE" wameidukua akaunti ya Sony Music twitter na kuzusha kwamba mwanamuziki Britney...

Diamond Platnumz achaguliwa kuwania uzo za Ghana Music Awards UK

Habari ni kwamba Diamond Platnumz amepata nafasi nyingine kubwa ya kuiwakilisha Tanzania kwenye tuzo za Ghana Music Awards UK zinazoandaliwa kwa ushirikiano wa kampuni...

Ziara ya Music ya Neyo na Diamond yasogezwa mbele mpaka mwezi...

Ziara ya muimbaji wa Marekani, Neyo na Diamond iliyokuwa ifanyike mwezi Disemba mwaka huu imesogezwa mbele hadi mwezi wa tatu mwakani. Kwa sasa ziara hiyo...

#BadMan: We call it Millioner’s things, Dogo Janja na Gold kwa...

B A D M A N... life is too short acha nienjoy UTOTO WANGU..😀 Nkifika Umri Flani Nitaacha. 😊😎- Hayo ni maneno yaliyoambatana na...

Rapper Fetty Wap Aionyesha mahakama Jeuri ya Pesa

Rapper huyu kutokea pande za Unyamwezini a.ka.a kwa Obama kaamua Kuionyesha mahakama jeuri ya Fedha alizo nazo(Watoto wa mjini wanakuambia KAVIMBA). The Patterson,...

Mimi ni Big Fish kwenye game. – Octopizzo

Msanii Octopizzo kutoka Kenya ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na muziki wake wa rap kuwagusa wengi, amesema kitendo cha kuandamwa na maneno negative ya...

EATV AWARDS itafanya Rais aendelee kuniacha-Nape Moses Nnauye

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ambaye alikuwa mgeni rasmi katika utoaji wa tuzo za EATV AWARDS zilizofanyika usiku...

Miss Tanzania 2016 ni Diana Edward Lukumai #MissTanzania2016.

Mashindano ya urembo ya Miss Tanzania 2016 yamefanyika na mshindi ametangazwa kuwa ni Diana Edward Lukumai ambaye ni Miss Kinondoni 2016. MTOKAMBALI.com Inamtakia Kila...

Vita za Kimuziki ni sehemu ya Kukuza kazi za Sanaa- Mwana...

Vita ya Diamond na Ommy Dimpoz ni moja ya vita ambayo imefanya mashabiki wengi kuwa na maswali , ila kwa upande wa Mwana Fa...

Msambwanda wangu wa kinyakyusa original – Witness

Witness ambaye ni rapper wa hapa bongo amewajia juu mashabiki wanaomsema vibaya kutokana na umbile lake, na kusema wanachukia kuona wanapendana na mpenzi wake...