EATV AWARDS itafanya Rais aendelee kuniacha-Nape Moses Nnauye

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ambaye alikuwa mgeni rasmi katika utoaji wa tuzo za EATV AWARDS zilizofanyika usiku...

DoneDeal: Chris Brown na Soulja Boy kuzichapa huko Dubai!

Chris Brown na rapa Soulja Boy ambao kwa sasa wana beef kubwa la muziki duniani wemakubaliana kufanya pambano lao Dubai. Chris na Soulja wamekubaliana kufanya pambano hili ili kutengeneza...

Tizama List nzima ya Washindi wa Tuzo za Grammys 2017, Adele...

Usiku wa Kuamkia leo nchini Marekani, Kumefanyika hafla ya utoaji wa zile Tuzo Kubwa katika Burudani Grammys 2017 Awards. Utoaji wa Tuzo hizo ulifanyika...

Ray C kutikisa tena anga la Bongo

Msanii wa kike aliyewahi kutikisa kupitia muziki wake kwa ufundi wa kukata viuno akiwa stejini mwanadada Ray C yuko mbioni kurudi tena kwenye game...

50 Cent kuachia Mix-tape yake mpya Hivi karibuni.

Mashabiki wa 50 Cent wamekua wakiuliza maswali mengii ambayo yanatokana na Kimya cha huyu jamaa katika social media tofauti tofauti. Kuna kila dalili kwamba...

Studio ya Classic Sound haijafungwa – Monagenster

Muandaaji na mtayarishaji wa nyimbo za bongo fleva Monagenstar amesema studio ya CLASSIC SOUND haija fungwa japo kwa sasa kuna marekebisho yanayofanyika katika studio yake kwa...

Diamond, Alikiba, Harmonize na Navy Kenzo watwaa tuzo za WhatsupTv

Huenda mwaka 2016 ukawa unaenda kuisha vizuri kwa  wakilishi wetu Diamond, Alikiba, Harmonize na Navy Kenzo kujinyakulia tuzo huko Ghana. Usiku wa December 28 2016...

IZZO B -Bado tunawekana sawa na YCEE, ngoma inakuja

Mkali wa Rap kutoka Mbeya City IZZO B amesema wimbo wao wa The Amaizing walioimba na YCEE utatoka bila ya msanii YCEE kusikika na...

Serikali kuanzisha tuzo za uandishi katika blogs

Serikali inatarajia kuanzisha tuzo za uandishi katika blogs nchini kuanzia mwaka 2017 Hayo yamesemwa jana jijini Dar es salaam na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,...

Nyimbo za Bob Marley zapatikana baada ya miaka 40

Nyimbo zilizokuwa zimepotea za mwanamuziki Bob Marley, ambazo zilipatikana kwenye chumba cha chini cha hoteli mjini London baada ya zaidi ya miaka 40 zimetengenezwa...