Tazama show ya Diamond kwenye ufunguzi wa AFCON 2017

Week End(Jumamosi) hii Diamond Platnumz na dancers wake, akishirikiana na wasanii wengine akiwemo Mohombi na Lumino, walitumbuiza kwenye ufunguzi wa kombe la AFCON 2017...

#TBT: Tizama Tbt za mastar mbali mbali hapa Bongo..

Kama inavyo julikana kwamba kila ifikipo siku ya Alhamisi ni siku ya kukumbuka mambo tofauti tofauti ambayo tuliwahi kufanya kipindi cha nyuma yaani TBT(Throw Back Thursday)...

DoneDeal: Chris Brown na Soulja Boy kuzichapa huko Dubai!

Chris Brown na rapa Soulja Boy ambao kwa sasa wana beef kubwa la muziki duniani wemakubaliana kufanya pambano lao Dubai. Chris na Soulja wamekubaliana kufanya pambano hili ili kutengeneza...

Fast & Furious imembadilisha Ludacris barabarani,hili ndio gari lake jipya

Rap Star Ludacris anazidi kupenda kasi na muonekano bora kwenye magari yake, hii imechangiwa zaidi na staa huyu wa filamu na muziki kuendelea kuwa...

#BadMan: We call it Millioner’s things, Dogo Janja na Gold kwa...

B A D M A N... life is too short acha nienjoy UTOTO WANGU..😀 Nkifika Umri Flani Nitaacha. 😊😎- Hayo ni maneno yaliyoambatana na...

Diamond, Alikiba, Harmonize na Navy Kenzo watwaa tuzo za WhatsupTv

Huenda mwaka 2016 ukawa unaenda kuisha vizuri kwa  wakilishi wetu Diamond, Alikiba, Harmonize na Navy Kenzo kujinyakulia tuzo huko Ghana. Usiku wa December 28 2016...

Christian Bella awachambua Diamond na Alikiba

Msanii wa Band maarufu kama mkali wa masauti Bongo Christian Bella amezungumzia timu ambazo ziko mitandaoni kati ya Alikba na Diamond kusema kuwa Alikiba...

Kudukuliwa kwa akaunti za Sony kwasababisha Britney Spears kuzishiwa kifo

Akaunti ya Sony Music Twitter yadukuliwa tena, na Safari hii wadukuzi wakubwa Marekani wajulikanao kama "OURMINE" wameidukua akaunti ya Sony Music twitter na kuzusha kwamba mwanamuziki Britney...

Picha: Huyu ndio mrembo anayedaiwa kuwa na uhusiano na Chris Brown...

Krista Santiago, jina la mrembo ambalo limetajwa  kwenye vichwa vingi vya habari baada ya kuibuka kwa tetesi kuwa ana uhusiano na staa wa muziki...

Ray C kutikisa tena anga la Bongo

Msanii wa kike aliyewahi kutikisa kupitia muziki wake kwa ufundi wa kukata viuno akiwa stejini mwanadada Ray C yuko mbioni kurudi tena kwenye game...