Hiki ndicho Dogo Janja anachojutia zaidi maishani

Rapa ambaye hivi sasa anafanya vizuri na ngoma yake 'Kidebe' Dogo Janja amefunguka na kuweka wazi jambo ambalo amekuwa akilijutia mpka hivi sasa katika...

Christian Bella kuja na studio yake mpya

Msanii wa bendi nchini au wengi wanapenda kumuita mzee wa masauti Christian Bella amefanikiwa kufungua studio yake binafsi inayokwenda kwa jina la Kingdom. Akizungumzia na...

Hakunaga kama Chid Benzi – Nikki Mbishi

Ikiwa imepita miezi kadhaa toka rapa Chid Benzi alimaarufu kama 'Chuma' kuachia wimbo wake mpya na baadaye kupotea kabisa Rapa Nikki Mbishi amefunguka na kusema...

One dance ya Drake yaweka rekodi nyingine tena

Ngoma ambayo ni Mega-Hit ONE DANCE yake rapper kutoka Canada Drake imekua ya kwanza kuchezwa Mara Bilioni Moja katika mtandao wa Spotify -Kwa mujibu wa Billboard. One Dance...

Msambwanda wangu wa kinyakyusa original – Witness

Witness ambaye ni rapper wa hapa bongo amewajia juu mashabiki wanaomsema vibaya kutokana na umbile lake, na kusema wanachukia kuona wanapendana na mpenzi wake...

Nitaachia ngoma mashabiki wakiongezeka – Belle 9

Meneja wa msanii Belle 9 anayefahamika kwa jina la Aza amesema ingawa walikuwa kimya kwa muda mrefu Belle 9 hataachia ngoma mpaka atakapopata followers...

Soulja Boy awekwa chini ya Ulinzi kwa matumizi mabaya ya Bunduki.

Ni kwa muda mrefu sasa rapper huyu kutokea pande za Marekani anayejulikana kwa jina la Soulja Boy amekua akifanya Show-off akiwa na bunduki katika mitandao ya kijamii,...

Historia leo: Mfahamu Msanii Eddy Kenzo kutokea Uganda

Edrisah Musuuza kwa jina Maarufu anajulikana kama Eddy Kenzo amezaliwa huko Masaka nchini Uganda.  Mama yake alifariki kipindi ambacho Eddy alikua na miaka minne(4)...

Wafahamu madancer Albir Rojas na Sara Lopez wakali wa ‘Kizomba dance’

Linapotajwa jina la ‘Kizomba’ basi kila mmoja haachi kumfkiria Albir Rojas na Sara Lopez maana wakali hawa ndio wenye KIZOMBA DANCE. Nianze na Albir Rojas:- Ni  dancer,...

Lord Eyez sasa kuwa chini ya usimamizi wa Barakah The Prince

Kwenye muziki, mdogo wako wa leo, anaweza kuwa bosi wako wa kesho. Kuanzia sasa, rapper mkongwe wa Nako 2 Nako, Lord Eyez atakuwa chini...