24 C
Kilimanjaro
Monday, April 24, 2017

Health&Food

Nyumbani Health&Food

Health eating – faida za CABBAGE

Kuna aina 2 za cabbage: Kuna ile ya kijani na ile ya rangi nyekundu/purple. Faida zake: 1.Kabichi mbichi inasaidia kutoa uchafu tumboni na kusafisha utumbo wa...

Afya Tips: Zijue faida za asali kwenye mwili wako..

Kwa miaka mingi asali imetumika kama dawa ya kutibu magonjwa mbalimbali, ila najua wengi wetu tunajua tu kuipaka pale tunapo ungua na moto ila...

Huduma ya kwanza kwa mtu aliyeng’atwa na Nyoka ama wadudu wengine...

Usitoboe au kuchana wazi sehemu ulioumwa au kung’atwa au kujaribu kufyonza nje sumu. Pia, toniketi (bandeji au mpira unaofungwa sehemu Fulani ya mwili kudhibiti...

Updated Tips: Zifahamu njia za uzazi wa mpango, Faida na madhara...

Sura hii inajadili njia mbalimbali za kuzuia mimba au kupanga muda wa kupata mimba nyingine yaani Uzazi wa mpango. Njia zote ambazo zimeelezewa katika...

Dharura zinazohusiana na ugonjwa wa kisukari

Kisukari ni ugonjwa ambao unaathiri uwezo wa mwili wa kuchakata sukari iliyopo kwenye chakula. Mtu mwenye tatizo la kisukari anaweza kuugua ghafla kiwango cha...

Maji na usafi wa mazingira: Funguo za kudumisha afya

#Dondoo: Maji na usafi wa mazingira: Funguo za kudumisha afya Matatizo mengi yanayotufanya tuugue yanaweza kuzuilika. Baadhi ya njia za kuzuia magonjwa huhitaji muda, juhudi...

Maumivu tumboni, kuhara, na minyoo

Kila mtu hupatwa na matatizo ya maumivu tumboni, kichefuchefu, kutapika, choo kuwa kigumu, au kuharisha wakati mmoja au mwingine. Matatizo mengi ya maumivu tumboni...

Tufuatilie pia katika....

5,369MashabikiPenda
1,156WanaofuataFuata
849WanaofuataFuata
Open