Matumizi ya BAKING SODA.

BAKING SODA (Magadi Soda) ni zaidi ya kiungo cha kukandia maandazi, mikate na keki. Inaweza kutumika kusafisha, kung’arisha vitu, kuondoa harufu mbaya, kuondoa madoa...

Support System – kuepuka depression!!

Kuna umuhimu mkubwa sana wa watu kuwa na SUPPORT SYSTEM (mtu maalum anaemumini ili kuzungumza nae kwa nia pale anapokuwa amezeidiwa na mawazo, matatizo...

Kunyonyesha.

Nimeona niandike hii makala baada ya kushuhudia watoto kadha wa kadha wakidhoofika kwa kulazimishwa kula vitu ambavyo umri wao hauruhusu. Wako ambao miili yao...

Ujauzito na kujifungua; Jinsi ya kuendelea kuwa na afya bora wakati...

Mwanamke mjamzito anapokuwa na afya nzuri na kupatiwa matunzo yanayohitajika, kuna uwezekano kuwa ujauzito wake utakuwa wenye afya pamoja na mtoto akayezaliwa. Akina mama,...

Afya Tips: Lishe bora hutengeneza afya bora

Karibu na Leo mada yetu inazungumzia Lishe bora hutengeneza afya bora! Chakula cha kutosha na chenye virutubishi mbalimbali ni hitaji muhimu kwa afya bora. Chakula...

Health eating – NJEGERE!!

 Njegere ni moja wao ya vyakula vya kawaida sana kwenye jamii yetu. Baadhi yetu hula kwa mazoea tu bila kujua faida zake mwilini na...

Health eating – faida za CABBAGE

Kuna aina 2 za cabbage: Kuna ile ya kijani na ile ya rangi nyekundu/purple. Faida zake: 1.Kabichi mbichi inasaidia kutoa uchafu tumboni na kusafisha utumbo wa...

Afya Tips: Zijue faida za asali kwenye mwili wako..

Kwa miaka mingi asali imetumika kama dawa ya kutibu magonjwa mbalimbali, ila najua wengi wetu tunajua tu kuipaka pale tunapo ungua na moto ila...

Huduma ya kwanza kwa mtu aliyeng’atwa na Nyoka ama wadudu wengine...

Usitoboe au kuchana wazi sehemu ulioumwa au kung’atwa au kujaribu kufyonza nje sumu. Pia, toniketi (bandeji au mpira unaofungwa sehemu Fulani ya mwili kudhibiti...

Updated Tips: Zifahamu njia za uzazi wa mpango, Faida na madhara...

Sura hii inajadili njia mbalimbali za kuzuia mimba au kupanga muda wa kupata mimba nyingine yaani Uzazi wa mpango. Njia zote ambazo zimeelezewa katika...