24 C
Kilimanjaro
Monday, April 24, 2017

Lifestyle

Nyumbani Lifestyle

Fahari ya Mwanaume!!

Fahari ya mwanaume ni MKE WAKE, FAMILIA YAKE na NYUMBA YAKE. Kiukweli, hamna kitu kizuri kama mtu kuwa na kitu ambacho kinampa ufahari. Kitu ambacho...

Watu wanaopenda kufanya mambo peke yao na kutumia muda mwingi faragha...

Jamii zetu za leo zinasisitiza kwamba tupende kutumia muda wetu mwingi tukiwa pamoja na wenzetu kwa kadiri tuwezavyo, hata pale tunapokua wapweke, tunatumiana ujumbe...

Kuolewa sio bahati, USIBAHATISHE!!

  "KUOLEWA NI BAHATI!!" hii kauli ina ukweli kiasi gani kwako?! Unaamini kuolewa ni bahati?? Kuna wanaume na wanawake ambao wanaamini  kwamba mwanamke anapoolewa tu basi amebahatika...

Ni kwa nini Watu waliofanya Vizuri Darasani hawafanikiwi katika maisha?

Wakati tulipokuwa wadogo, tulifundishwa yakwamba kama tunataka kufanikiwa katika maisha ni lazima tusome kwa bidii na kupata matoke mazuri darasani. Kupata "A" ndio lilipaswa...

5 Ways To Improve The Relationship With Yourself

The one and most important relationship you have is the one with yourself. In order for all your other relationships to work, you need...

Mambo ambayo hutakiwi kufanya pindi ufikapo miaka 24

Hongera nikupongeze kwa kufika miaka 24 bado uungali kijana lakini upo njiani kuelekea uzeeni. Sasa basi ni kwa namna gani utabadili maisha yako na...

8 Keys to Success from Jack Ma, Self-Made Billionaire and CEO...

Keys to Success from Jack Ma, Self-Made Billionaire and CEO of Alibaba It takes a rare person to accumulate a total net worth over $20 billion...

Fahamu Ukweli wa Maisha kupitia mambo haya matano(5)..

Maisha ni kila kitu.Maisha ni kila kitu. Maisha ni mazuri na matamu kweli kweli LAKINI kamwe maisha Sii rahisi kama Unavyodhani. Kuna wengine maishai....

Mambo matano(5) yakuzingatia kabla hujamnunulia pete ya uchumba Mpenzi wako

Kuwa na mpenzi ambaye atakua wako daima ni sawala Muhimu mno katika maisha yako hapa Ulimwenguni. Pete ya Uchumba ni alama pekee ya Upendo...

Nyumbani ni Nyumbani na hakuna sehemu nyingine

"Hakuna mahali pengine kama nyumbani "- Francis Mawere Hapo awali kulikuwako na Misemo kadhaa juu ya Nyumbani, maneno hayo ni kama "Nyumban ni Nyumbani hata...

Fanya Mambo haya kuifanya asubuhi yako iwe nzuri

Nilikua mtu wa Kuichukia asubuhi yangu kila kukicha. Nilichukia kuamka mapema, Lakini nilikua nikisikia na kusoma haya mambo na faida za kuamka hasubuhi na...

Mambo ni Magumu, lakini utafanikiwa kama tuu utakubali mambo haya matatu.

Mumewe alipack vitu vyake kimya kimya na kufungua mlango kisha akaondoka na hakurudi tena. Angel alianguka magotini na kulia kwa uchungu huku akitetemeka. Alikua...

Njia 4 za Kuongeza uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu katika Ubongo wako

Yawezekana umekua ukijishtukia ukiwa katika hali ya kusahau mambo kila mara ama kupoteza kumbukumbu na muda mwingi umekua ukitafuta suluhisho sahihi juu ya tatizo...

Ondoa Mambo haya 8 ili kufanikiwa katika Maisha.

Watu wengi hufikiri kwamba njia nzuri ya kufanikiwa ni kufanya na kufahamu mengi zaidi katika maisha ya kila siku.Wakati mambo haya yanaweza kukusaidia, njia nzuri...

Sababu 5 ni kwa nini watu wano-lia sana wanakua vizuri...

Karibu mtokambali na leo nitakupatia Sababu 5 ni kwa nini watu wano-lia sana wanakua vizuri kiakili. Kwa bahati mbaya hisia zote hazikuumbwa sawa. Hisia ambazo zinakubaliwa...

Watu 6 unao takiwa kuwa nao kaitika mapenzi kabla Hujafa.

Maisha yanabadilika kila Kukicha, tamaduni nazo zinabadilika, muda unakwenda na Umri unazidi kusogea. Itafika pahala utapaswa kuwa katika mapenzi na Mpenzi ama mtu ambaye...

Tufuatilie pia katika....

5,369MashabikiPenda
1,156WanaofuataFuata
849WanaofuataFuata
Open