18 Basic Rules To Lead A Fulfilling Life

Being fulfilled is an awesome feeling, but unfortunately, it’s a feeling that many have trouble finding. Fulfillment is an easy concept on the surface,...

Kubana matimizi!!!

Sio siri hali ya uchumi sasa hivi kwa Watanzania wengi sio nzuri sana. Karibu kila unaekutana nae analia shida, wafanya biashara wanalalamika biashara haziendi...

Tatizo la madawa ya kulevya.

Tatizo la madawa ya kulevya ni tatizo la kijamii na kitaifa. Tatizo hili hushirkisha makundi mawili ambayo ni.. A. Watumiaji (waathirika) wa madawa ya kulevya. B....

UTEGEMEZI….

Utegemezi ni hali ya mtu kujiona hajitoshelezi mwenyewe na kujikuta akitaka/hitaji kuwezeshwa na watu wengine haswa kihisia,kifedha na hata kiakili. VITU VINAVYOSABABISHA UTEGEMEZI 1.Kukosa maarifa na...

Furaha sio kile ulichonacho, bali ni kwa kiasi gani unafurahia maisha.

Furaha ya kweli inaletwa na wewe peke yako.Wengi wetu huwa tunaamini kwamba kadiri tunavyozidi kuwa na vitu vingi basi ndivyo furahara inazidi kuongezeka maishani...

Fahari ya Mwanaume!!

Fahari ya mwanaume ni MKE WAKE, FAMILIA YAKE na NYUMBA YAKE. Kiukweli, hamna kitu kizuri kama mtu kuwa na kitu ambacho kinampa ufahari. Kitu ambacho...

Watu wanaopenda kufanya mambo peke yao na kutumia muda mwingi faragha...

Jamii zetu za leo zinasisitiza kwamba tupende kutumia muda wetu mwingi tukiwa pamoja na wenzetu kwa kadiri tuwezavyo, hata pale tunapokua wapweke, tunatumiana ujumbe...

Kuolewa sio bahati, USIBAHATISHE!!

  "KUOLEWA NI BAHATI!!" hii kauli ina ukweli kiasi gani kwako?! Unaamini kuolewa ni bahati?? Kuna wanaume na wanawake ambao wanaamini  kwamba mwanamke anapoolewa tu basi amebahatika...

Ni kwa nini Watu waliofanya Vizuri Darasani hawafanikiwi katika maisha?

Wakati tulipokuwa wadogo, tulifundishwa yakwamba kama tunataka kufanikiwa katika maisha ni lazima tusome kwa bidii na kupata matoke mazuri darasani. Kupata "A" ndio lilipaswa...

5 Ways To Improve The Relationship With Yourself

The one and most important relationship you have is the one with yourself. In order for all your other relationships to work, you need...