Mambo matano(5) yakuzingatia kabla hujamnunulia pete ya uchumba Mpenzi wako

Kuwa na mpenzi ambaye atakua wako daima ni sawala Muhimu mno katika maisha yako hapa Ulimwenguni. Pete ya Uchumba ni alama pekee ya Upendo...

Kubana matimizi!!!

Sio siri hali ya uchumi sasa hivi kwa Watanzania wengi sio nzuri sana. Karibu kila unaekutana nae analia shida, wafanya biashara wanalalamika biashara haziendi...

Ni kwa nini Watu waliofanya Vizuri Darasani hawafanikiwi katika maisha?

Wakati tulipokuwa wadogo, tulifundishwa yakwamba kama tunataka kufanikiwa katika maisha ni lazima tusome kwa bidii na kupata matoke mazuri darasani. Kupata "A" ndio lilipaswa...

Sababu 5 ni kwa nini watu wano-lia sana wanakua vizuri...

Karibu mtokambali na leo nitakupatia Sababu 5 ni kwa nini watu wano-lia sana wanakua vizuri kiakili. Kwa bahati mbaya hisia zote hazikuumbwa sawa. Hisia ambazo zinakubaliwa...

Watu wanaopenda kufanya mambo peke yao na kutumia muda mwingi faragha...

Jamii zetu za leo zinasisitiza kwamba tupende kutumia muda wetu mwingi tukiwa pamoja na wenzetu kwa kadiri tuwezavyo, hata pale tunapokua wapweke, tunatumiana ujumbe...

Kijana Tambua thamani ya kipaji chako leo.

Kipaji cha Mtu ni hazina! Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Hakika Haja ya mja hunena na Uungwana ni vitendo. Uhali gani kijana mwenzangu? kwanza...

Ondoa Mambo haya 8 ili kufanikiwa katika Maisha.

Watu wengi hufikiri kwamba njia nzuri ya kufanikiwa ni kufanya na kufahamu mengi zaidi katika maisha ya kila siku.Wakati mambo haya yanaweza kukusaidia, njia nzuri...

Fahari ya Mwanaume!!

Fahari ya mwanaume ni MKE WAKE, FAMILIA YAKE na NYUMBA YAKE. Kiukweli, hamna kitu kizuri kama mtu kuwa na kitu ambacho kinampa ufahari. Kitu ambacho...

Tuzungumze yanayo tusibu na Kupata suluhisho la suluhisho la Matatizo yetu

Mtu mmoja alipata kusema "Hasara roho, pesa makaratasi" na mimi nasema ni kweli kabisa Karibu tujadili  namna yakutatua Matatizo yetu. Je una Amani ya moyo mwako?...

Njia 4 za Kuongeza uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu katika Ubongo wako

Yawezekana umekua ukijishtukia ukiwa katika hali ya kusahau mambo kila mara ama kupoteza kumbukumbu na muda mwingi umekua ukitafuta suluhisho sahihi juu ya tatizo...