Watu 6 unao takiwa kuwa nao kaitika mapenzi kabla Hujafa.

Maisha yanabadilika kila Kukicha, tamaduni nazo zinabadilika, muda unakwenda na Umri unazidi kusogea. Itafika pahala utapaswa kuwa katika mapenzi na Mpenzi ama mtu ambaye...

Sema naye, mwambie ukweli usimwogope.

“Usione sooo sema nae, mwambie ukweli. Leo nmepanda hapa MTOKAMBALI nikiwa na swala moja tuu ambalo mara nyingi hunitawala katika fikra zangu na hata...

Msingi wa kufanikiwa ni kuthubutu kufanya jambo…

Msingi wa kufanikiwa ni kuthubutu kufanya jambo fulani kwa mfano kufungua miradi, kufanya biashara, kusoma kwa bidii na mambo mengine kibao. Ngoja nikuulize tena, maana...

Kanuni 9 za mafanikio kutoka kwa Steve Jobs

Steve Jobs ni moja kati ya watu walio wahi kuwa Maarufu katika ulimwengu wa teknologia na Amekuwa mfano wa kuigwa na kazi zake zimekuwa...

Waheshimu wazazi wako katika Uzee wao maana…..

Maandiko matakatifu yanasema "Waheshimu wazazi wako upate heri na maisha marefu hapa duniani" Mzee mmoja mwenye miaka ipatayo 80 alikua ameketi katika sofa nyumbani kwake...

Kushindwa: Japo utaumia lakini Utajifunza.

Je ni nini haswa maana ya Neno Kushindwa? Wakati mwingine inatokea hali ya sisi kujichukulia kwamba na watu walio shindwa na kukata tamaa, ila hakuna...

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.

Leo nmekuja na somo hili linalohusu Furaha ya kweli hivyo nikukaribishe mpenzi msomaji kuwa nami katika somo hili na kabla ya yote nikupatie mwongozo...

Tuzungumze yanayo tusibu na Kupata suluhisho la suluhisho la Matatizo yetu

Mtu mmoja alipata kusema "Hasara roho, pesa makaratasi" na mimi nasema ni kweli kabisa Karibu tujadili  namna yakutatua Matatizo yetu. Je una Amani ya moyo mwako?...

Kijana Tambua thamani ya kipaji chako leo.

Kipaji cha Mtu ni hazina! Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Hakika Haja ya mja hunena na Uungwana ni vitendo. Uhali gani kijana mwenzangu? kwanza...

Hawa ndio maadui wanne wanaokwamisha ndoto zako kila kukicha

Yawezekana kwa muda mrefu umekua ukimtafuta mchawi wa maisha yako, ila leo nawaleta maadui wanne wanaokwamisha ndoto zako kila kukicha. Je umewahi kujisikia vibaya ama kua...