Kwa wasiopenda kuwa michepuko…

Tabia ya kutoka nje ya ndoa sio nzuri kama ambavyo mtu kuingilia ndoa ya mwenzie sio vizuri. Siku zote anaetoka nje ya ndoa yake...

Paranoia!!!!

Paranoia ni kitendo cha mtu kuwa na tabia ya kuwa na wasiwasi,hofu, mashaka, na kutoamini mtu mwingine bila ya kuwa amepewa sababu ya kufanya...

Wazazi wenza.

Linapokuja swala la mahusiano/ndoa na watoto waliozaliwa kabla ya baba kuoa tena huwa hatuachi kuongelea mama wa kambo na malezi ya watoto. Jinsi walivyo...

Kwaajili yako!!!

''Nitamuacha kwaajili yako'' hutokea kwasababu kuna wakati  huwa inatokea watu wawili wakakutana mmoja au wote wawili wakiwa kwenye mahusiano na watu wengine.  Na wakati...

Mahusiano mabaya…

Kwanza kabisa mahusiano mabaya ni yale mahusiano ambayo maumivu na huzuni vinazidi furaha na ile hali ya kuridhika na mwenzi wako. Ndani yake kuna...

Badili ULICHONACHO kuwa UNACHOTAKA.

Kila  siku tunasikia jinsi mwanamke alivyo na nafasi kubwa katika kuharibu ama kujenga nyumba yake , NDOA. Ni kweli kwamba mwanamke anaweza kubomoa nyumba yake...

Dondoo za mapenzi….

List hii ya dondoo za mapenzi ni mahsusi kwa watu wanaotarajia kuanzisha mahusiano thabiti na yenye malengo pamoja na wale ambao tayari wamo ndani ya...

Jifunze kusoma alama za nyakati.

Kujua jinsi ya kusoma alama za nyakati ni kujua wakati gani ufunge ukurasa mmoja na kufungua mwingine, wakati gani wa kufanya maamuzi magumu na...

Crime of Passion

Crime of passion ni pale mtu anapofanya kosa kutokana na hisia kali (hasira, maumivu, uchungu, aibu n.k) haswa katika mahusiano ya kimapenzi. Kila siku wanaume...

Long Distance Relationship

Long Distance Relationship ni mahusiano ya kimapenzi kati ya watu wawili ambao wanaishi mbali mbali. Wasioweza kukutana bila ya mmoja wao kufunga safari. Katika...