Matarajio (expectations) kwenye mahusiano.

Unrealistic expectations are planned resentments. Kila mtu anapoingia kwenye mahusiano/ndoa anakua na matarajio yake. “Tutapendana milele!!” !Hawezi kuniumiza.” “Atanitatulia shida zangu zote.’’ ‘’Hatuwezi kugombana!!’’ etc....

Kubali ukweli Huu: “Tunakosea mengi wakati tunaanguka katika penzi(Fall in Love)”

Hadithi ya penzi yetu tulio wengi hua inaanza hivi: Mwanaume anavutiwa na mwanamke mmoja mahali fulani(Labda kwenye party, Mgahawani, Ama sokoni n.k). Kisha anamfuata...

SANDUKU LA HUDUMA YA KWANZA Kwa Hisia zako ( First Aid...

Huduma ya Kwanza kwa hisia zako inaweza kuonekana kama kitu kigeni kutokana na Mazoea ya kuwa na huduma ya Kwanza KIMWILI kuliko KIHISIA....lakini tulio...

Jinsi ya kurudisha maisha yako baada ya KUACHANA!!

“The sooner you get out of a bad investiment the better.” Mahusiano ni kama 'shared business investiment' kati ya watu wawili. Hiyo inafanya iwezekane kwamba...

Lugha ya Hisia na dhamana ya mahusiano

Najua Mapenzi siku hizi ni Pesa ..sura zinakwenda Red Carpet,....lakini Leo turudi kwenye Ukweli kidogo,....Hivi Ushawahi kuwa na Best Friend wa Jinsia Tofauti na...

JE HUYU NDIYE SAHIHI?.(Akili kichwani Mwako)

Usahihi wake unatazamwa wapi?...Usahihi hutazamwa ktk kigezo cha muda Mrefu (Long term relationship)...otherwise kama unataka Uhusiano wa Ku-buy time kwa Muda Mfupi (Short term)...

I Promise To Never Be Lazy In Loving You

I promise to see into your soul on a daily basis. I promise to ask you how your day was, and give you all of...

Love Yourself Enough To Choose The Right Person

True Love is all we need, but the problem is where and how to find it. Most of the people think that Being wealth...

Things men should stop saying before sex

Pleasing women has always been very tricky, even before Lord Maurice Egerton built a castle in Njoro for Lady Victoria, who was never pleased...