Chanjo ya ugonjwa wa Ebola yabainika kufanya kazi..

Majaribio ya chanjo cha ugonjwa wa Ebola yamebainika kuwa yana uwezo na nguvu zaidi dhidi ya virusi vya ugonjwa huo hatari. Majaribio yake yamefanyiwa nchini...

Utafiti: Uwezo wa wanawake kupata mimba washuka Tanzania

Viwango vya wanawake kuweza kupata mimba nchini Tanzania vimepungua hadi 5.2 kwa kila mwanamke nchini Tanzania mwaka 2015/2016 kutoka 6.2 kwa kila mwanamke miaka...

Tafiti Mboga ya mchicha kugundua bomu

Wanasayansi wameweza kuifanya mboga ya aina ya Mchicha au 'Spinach' kugundua bomu. Imearifiwa kwamba majani ya mchicha yanaweza kuhifadhi kemikali aina ya 'nitro-aromatics' ambazo hupatikana...

Sumu ya nyoka ni dawa ya kumaliza uchungu

Nyoka mwenye sumu kali zaidi duniani huenda akawa jibu la kupatikana dawa ya kupunguza uchungu. Hii ni kwa mujibu ya wanasayansi. Nyoka anayejulikana kama 'Blue...