Ifahamu Application hii utakayosikiliza Redio popote Utakapokuwa kwa urahisi📱

Habari ndugu msomaji wa tovuti yako pendwa, Leo kuna habari nzuri ambayo nahitaji kukushirikisha leo hapa hapa. Habari yenyewe inaihusu Application ambayo sasa hivi umerahisishiwa...

#Blackbery: Ifahamu simu Mpya Blackbery KeyOne, Specification pamoja na Bei

Yawezekana hii ikawa taarifa poa sana kwako ewe mtumiaji na mpenzi wa simu janja(Smartphone) aina ya Blackbery. Hivi majuzi huko TORONTO Canada, kampuni ya...

Tecno L9+ kuja kuwa mkombozi wa Watanzania

Tecno L9+ kuja kuwa mkombozi wa Watanzania Kampuni ya simu yenye asili ya China, Tecno Mobile imekuja na ufumbuzi wa tatzo la simu janja (smart...

Uwezo wa kuhama mtandao wa simu bila ya kubadili laini: Vitu...

Nadhani hadi sasa utakuwa umekwishapata taarifa ya uwezo wa kuhama mtandao wa simu bila ata ya kubadili laini/namba ya simu kama ilivyokuwa kwa muda...

Facebook yaongeza mapato yake kwa mwaka 2016

Kampuni ya mtandao wa facebook imeripoti kuongezeka kwa faida katika ripoti yake ya robo ya kwanza ya mwaka 2016. Kampuni hiyo ilijipatia zaidi ya dola...

Galaxy Note7: Samsung yasema betri zilikuwa na kasoro

Uchunguzi uliofanywa na Samsung kuhusu visa vya simu aina ya Galaxy Note7 kushika moto, umebaini kwamba visa hivyo vilitokana na kasoro kwenye betri. Kampuni hiyo...

#Tetesi: Samsung Galaxy S8 na S8 Plus kuachiliwa mwezi Aprili mwaka...

Samsung Galaxy S8 na S8 Plus? Yes nina habari njema kwako ewe mpenzi wa Samsung... Tetesi zilizoko mitandaoni na maeneo mengine ni kwamba kampuni ya...

Betri mpya inayoweza kuzima moto yavumbuliwa

Wataalamu nchini Marekani wamevumbua betri ya lithium ambayo ina kemikali inayoiwezesha kuzima moto iwapo utazuka kwenye betri. Kemikali hiyo itafunguliwa iwapo kiwango cha joto kwenye...

#Nokia6: Ifahamu smartphone Nokia 6, Specifications pamoja na Bei

Nokia 6? yes Awali ya yote niseme baba Karudi(The Father is Back). Ni hivi majuzi tuu mwanzoni mwa mwezi huu wa January 2017 kampuni ya...

#TechNews: Razer wamezindua laptop yenye sceen tatu

Kampuni inayotayarisha michezo ya kompyuta ya Razer imezindua kipakatalishi (kompyuta ya kupakata/laptop) mpya ambayo ina screen tatu kwenye maonyesho ya teknolojia mpya mjini Las...