Ifahamu Application hii utakayosikiliza Redio popote Utakapokuwa kwa urahisi📱

Habari ndugu msomaji wa tovuti yako pendwa, Leo kuna habari nzuri ambayo nahitaji kukushirikisha leo hapa hapa. Habari yenyewe inaihusu Application ambayo sasa hivi umerahisishiwa...

Tecno kutoa Phantom 6 Septemba hii, itathibitisha ubora wake?

Sio suala jipya kwamba Bara la Afrika limegubikwa kwa kishindo na ulimwengu wa Smartphone (vijana wa mjini wanaziita simu janja). Ulimwengu huu umeshuhudia...

Kampuni ya Apple kuunda magari yanayojiendesha

Kampuni ya Apple imetangaza mipango yake ya kuunda magari yanayojiendesha. Kampuni hiyo imekiri hayo kwa mara ya kwanza kwenye barua kwa wasimamizi wa uchukuzi...

Uwezo wa kuhama mtandao wa simu bila ya kubadili laini: Vitu...

Nadhani hadi sasa utakuwa umekwishapata taarifa ya uwezo wa kuhama mtandao wa simu bila ata ya kubadili laini/namba ya simu kama ilivyokuwa kwa muda...

Acer yazindua laptop yenye kioo kilichojipinda

Kampuni ya Acer imezindua laptopu ya kwanza ilio na kioo kilichojipinda.Acer inasema kuwa uvumbuzi huo utaiwezesha kucheza michezo ya video. Televisheni kadhaa pia zimetumia uvumbuzi...

Twitter yaanzisha Live stream Video kama Facebook, Youtube na Insta

Kampuni ya twitter imeanzisha huduma mpya ambayo itawaruhusu watumiaji wake Kwenda moja kwa moja LIVE kama wafanyavyo mitandao mingine kama vile Facebook, Youtube na...

Mmiliki wa Mtandao wa Wikileaks afariki Dunia

Mwanzilishi wa mtandao maarufu wa Wikileaks, Gavin MacFadyen (76) amekutwa amefariki Jumamosi ambapo  chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana. Mtandao wa Wikileaks umekuwa ukiibua mambo mbalimbali...

Tecno L9+ kuja kuwa mkombozi wa Watanzania

Tecno L9+ kuja kuwa mkombozi wa Watanzania Kampuni ya simu yenye asili ya China, Tecno Mobile imekuja na ufumbuzi wa tatzo la simu janja (smart...

Facebook yawapatia wateja fursa ya kutoa tahadhari

Mtandao wa facebook umewapatia fursa wateja wake kutoa ishara ya tahadhari ya kiusalama iwapo watajipata katika hali hatari. Kufikia sasa huduma hiyo ilikuwa inaweza...

Mtandao wa Facebook kukabiliana na akaunti feki

Mtandao wa Facebook umesema umeanzisha upelelezi kukabiliana na akaunti feki za watumiaji. Tiyari umeshaanza kutumia wafanyakazi kutoka nje ya kampuni hiyo watakaoweza kugundua kompyuta zinazotumika...