Japan kutumia $175m kutengeneza kompyuta yenye kasi zaidi duniani

Japan inatumia takriban dola milioni 175 kutengeneza supercomputer yenye kasi zaidi duniani. Hiyo ni jitihada ya nchi hiyo kuivunja rekodi ya China. Kompyuta ya AI...

Mtandao wa Facebook kukabiliana na akaunti feki

Mtandao wa Facebook umesema umeanzisha upelelezi kukabiliana na akaunti feki za watumiaji. Tiyari umeshaanza kutumia wafanyakazi kutoka nje ya kampuni hiyo watakaoweza kugundua kompyuta zinazotumika...

Lenovo Unveils New ‘Hello Moto’ Boot Animation; Will Come on New...

Lenovo acquired Motorola Mobility from Google in 2014 for $2.9 billion. Since then, Lenovo has almost killed the brand's identity, retaining just the 'Moto'...

Utafiti: Betri zinazotumiwa katika simu zina sumu

Zaidi ya gesi 100 zinazoweza kusababisha kifo hutolewa na betri zinazopatikana miongoni mwa mabilioni ya vifaa vinavyotumiwa na raia wengi duniani kama vile...

Kampuni ya Ford kuacha kutengenezea magari Mexico

Kampuni kubwa ya magari nchini Marekani Ford, imetangaza kwamba itaachana na mpango wake wa kutaka kutengeneza kampuni ya magari nchini mexico itakayogharimu dola Bilioni...

Snapchat imezindua miwani yenye kamera

Kampuni ya Snapchat imezindua miwani ya aina yake yanayomuezesha mtu kupiga video na kuisambaza katika mtandao huo wa kijamii. Inasema miwani hiyo iliyopewa jina 'Spectacles',...

Facebook yaongeza mapato yake kwa mwaka 2016

Kampuni ya mtandao wa facebook imeripoti kuongezeka kwa faida katika ripoti yake ya robo ya kwanza ya mwaka 2016. Kampuni hiyo ilijipatia zaidi ya dola...

Betri mpya inayoweza kuzima moto yavumbuliwa

Wataalamu nchini Marekani wamevumbua betri ya lithium ambayo ina kemikali inayoiwezesha kuzima moto iwapo utazuka kwenye betri. Kemikali hiyo itafunguliwa iwapo kiwango cha joto kwenye...

Asilimia 99 ya chaja bandia za Apple haziko salama

Wachunguzi wamewaonya wateja kuwa wanakabiliwa na hatari kubwa baada ya kubainika kuwa asilimia 99 ya chaja bandia za vifaa vya Apple haziko salama. Wakaguzi wa...

Acer yazindua laptop yenye kioo kilichojipinda

Kampuni ya Acer imezindua laptopu ya kwanza ilio na kioo kilichojipinda.Acer inasema kuwa uvumbuzi huo utaiwezesha kucheza michezo ya video. Televisheni kadhaa pia zimetumia uvumbuzi...