Kampuni ya Ford kuacha kutengenezea magari Mexico

Kampuni kubwa ya magari nchini Marekani Ford, imetangaza kwamba itaachana na mpango wake wa kutaka kutengeneza kampuni ya magari nchini mexico itakayogharimu dola Bilioni...

Samsung waachia simu tatu Galaxy A3, A5 na A7.

Kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya Kielektroniki Samsung wameuanza mwaka 2017 kwa kuachia simu janja(smartphone) tatu kwa wakati mmoja. Kampuni hiyo yenye makazi yake huko Korea ya...

2G, 3G, 4G na 5G maana yake ni nini?

Je uliwahi kujiuliza kwamba 2G, 3G, 4G, 5G maana yake ni nini? Katika sekta ya mawasiliano, ni kawaida kuwasikia wataalamu na wakati mwingine watu wa...

Mtandao wa Facebook kukabiliana na akaunti feki

Mtandao wa Facebook umesema umeanzisha upelelezi kukabiliana na akaunti feki za watumiaji. Tiyari umeshaanza kutumia wafanyakazi kutoka nje ya kampuni hiyo watakaoweza kugundua kompyuta zinazotumika...

Twitter yaanzisha Live stream Video kama Facebook, Youtube na Insta

Kampuni ya twitter imeanzisha huduma mpya ambayo itawaruhusu watumiaji wake Kwenda moja kwa moja LIVE kama wafanyavyo mitandao mingine kama vile Facebook, Youtube na...

Kampuni ya Apple kuunda magari yanayojiendesha

Kampuni ya Apple imetangaza mipango yake ya kuunda magari yanayojiendesha. Kampuni hiyo imekiri hayo kwa mara ya kwanza kwenye barua kwa wasimamizi wa uchukuzi...

Mitandao kudhibitiwa kuepuka uchochezi

Kampuni kubwa za kiteknolojia Duniani zimeanzisha programu mpya itakayosaidia kupunguza kasi ya uchochezi na misimamo mikali Katika Mitandao. Twitter, Facebook, na Microsoft watakapo baini kuwepo...

Asilimia 99 ya chaja bandia za Apple haziko salama

Wachunguzi wamewaonya wateja kuwa wanakabiliwa na hatari kubwa baada ya kubainika kuwa asilimia 99 ya chaja bandia za vifaa vya Apple haziko salama. Wakaguzi wa...

Japan kutumia $175m kutengeneza kompyuta yenye kasi zaidi duniani

Japan inatumia takriban dola milioni 175 kutengeneza supercomputer yenye kasi zaidi duniani. Hiyo ni jitihada ya nchi hiyo kuivunja rekodi ya China. Kompyuta ya AI...

Instagram yazindua video ya matangazo ya moja kwa moja(Live)

Mtandao wa Instagram ndio mtandao wa huduma ya kijamii wa hivi karibuni kuzindua video za matangazo ya moja kwa moja. Ukifuata nyayo za mtandao wa...