Facebook kukabiliana na taarifa za uongo mtandaoni

Mtandao wa kijamii Facebook umetangaza hatua mpya itakazochukuwa kudhibiti taarifa za uongo zinazochapishwa katika mtandao huo. Mmiliki wa Facebook, Mark Zuckerberg amesema yuko katika harakati...

Samsung yanunua kampuni ya kutengeza magari

Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung imeinunua kampuni ya kutengeza magari ya Harman International Industries kwa kitita cha dola bilioni 8 pesa taslimu...

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthibitisha manunuzi...

Mmiliki wa Mtandao wa Wikileaks afariki Dunia

Mwanzilishi wa mtandao maarufu wa Wikileaks, Gavin MacFadyen (76) amekutwa amefariki Jumamosi ambapo  chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana. Mtandao wa Wikileaks umekuwa ukiibua mambo mbalimbali...

Utafiti: Betri zinazotumiwa katika simu zina sumu

Zaidi ya gesi 100 zinazoweza kusababisha kifo hutolewa na betri zinazopatikana miongoni mwa mabilioni ya vifaa vinavyotumiwa na raia wengi duniani kama vile...

Twitter na makampuni mengine Marekani yavamiwa na Wadukuzi(Hackers)

Uchunguzi umeanzishwa baada ya uvamizi wa mitandao kadhaa dhidi ya kampuni ya Marekani ulioathiri huduma za baadhi ya mitandao hiyo. Twitter, Spotify, Reddit, Soundcloud na...

Kamera Ya Mbele (Selfie) Mbioni Kutumika Kama ‘Password’ Ili Kuweka Ulinzi...

Kamera ya mbele maaru kama ‘Selfie Camera’ itakua haina kazi chache tuu kama tulivyoziea kuzifanya katika kamera hiyo.Kumbuka wengi wetu huwa tunaitumia katika kupiga...

Rwanda yapiga marufuku simu za Galaxy Note 7

Serikali ya Rwanda imepiga marufuku uagizaji na usambazaji wa simu za kampuni ya Samsung aina ya Galaxy Note 7. Hatua hiyo imechukuliwa siku chache...

Samsung yasitisha utengezaji wa simu za Galaxy Note 7

Kampuni ya Samsung imesitisha utengenezaji wa simu za Galaxy Note 7 baada ya hofu kuendelea kuwepo kuwa hata zile simu za mara ya pili...

Facebook kuzindua Messenger Lite Kenya.

Facebook imezindua aina mpya ya programu tumishi yake ya kutuma ujumbe ambayo inawalenga watu wa mataifa yanayoendelea. Programu hiyo mpya ya Messenger, ambayo inaitwa Messenger...