Matatizo ya kisaokolojia yanayosababishwa na malezi.

Baadhi ya watu husumbuliwa na matatizo ya kisaikolojia yaliyosababishwa na malezi hasi. Katika hali ya kawaida watoto hujifunza kutokana na matendo ila hujengwa kiakili na...

Kunyonyesha.

Nimeona niandike hii makala baada ya kushuhudia watoto kadha wa kadha wakidhoofika kwa kulazimishwa kula vitu ambavyo umri wao hauruhusu. Wako ambao miili yao...

NONDA WA YANGA NA DILI LA KUSADIKIKA.

1994 Nonda Shaaban Papii alikuwa ni mmoja wa Vijana Yosso wa Yanga,...na kabla ya kuja Bongo alikuwa akiichezea Atletico ya Burundi ambayo nayo ilimpiga...

#Exclusive: Tizama Trailer ya Movie Mpya -Kiumeni (Official Movie Trailer)

Kiumeni Moja kati ya Movie Mpya zinazosubiriwa kwa hamu sana na mashabiki wa Movies hapa Bongo na Africa mashariki kwa Ujumla. Ndani ya Movie...

Lifahamu kabila la wamaasai, kabila wazawa wa Afrika

Wamaasai ni kabila wazawa wa Afrika la watu wahamaji katika wanaopatikana Kenya na kaskazini Tanzania. Kwa sababu ya mila tofauti zao na mavazi na...

Hawa ndio wana-Sayansi waliowahi kutembea Mwezini

Mtu wa mwisho kutembea Mwezini, Gene Cernan, alifariki dunia mapema wiki hii akiwa na umri wa miaka 82. Alikuwa kamanda wa chombo cha safari za...

kampuni ya magari ya Volvo yashindwa kuongoza kimauzo Sweden

Kwa mara ya kwanza ndani ya zaidi ya nusu karne, kampuni maarufu ya uuzaji magari nchini Sweden Volvo imeshindwa kuongoza kimauzo. Kampuni hiyo ambayo kwa...

Roboti anaye-weza kushiriki ngono na binadamu kuzinduliwa mwaka ujao

Je ungependelea kushiriki ngono na roboti? ungefunga ndoa na roboti? na Je roboti anaweza kuwa na haki ya kupinga ndoa hiyo? Haya ni baadhi ya...

Miss Tanzania 2016 Diana Lukumay kuitetea Tanzania ‘Miss world’ kesho

Miss Tanzania 2016 Diana Lukumay hapo kesho tar 18 Desemba 2016 anatarajiwa kuitetea Tanzania katika jukwaa la 'Miss World 2016', huku akiwa na nafasi...

Yahoo: watumiaji bilioni 1 wameathiriwa na wavamizi wa mitandao

Kampuni ya Intaneti ya Yahoo inasema wavamizi wa mitandao(Hackers) waliiba data za zaidi ya ya watumiaji wake bilioni moja. Tukio hilo linaaminika kufanyika mnano mwaka...