Tizama hapa Video mpya ya kwao P Square – Away(Offial Video)

Baada ya Kufanya poa na Ngoma yao Bank Arlet, Ndugu hawa wawili P Square ( Peter na Paul Okoye) kutokea pande za Nigeria wameachia...

Tizama Video mpya ya Tyga Ft Designer -Gucci Snakes

Baada ya kuvutwa kwenye lebo moja ya G.O.O.D Music , Tyga na Designer wametoa video ya colabo yao ya kwanza iliyotoka miezi mitano iliyopita...

Itizame hapa video mpya ya Juicy J Ft Wiz Khalifa na...

Hii video mpya ya Juicy J, Wiz Khalifa,na Ty Dolla $ign “Ain’t Nothing.” Kumbuka pia kuwashirikisha wana kitaa kwa kadiri uwezavyo....

Video: Wale Ft Lil Wayne – Running Back

Yawezekana ukawa ni mwaka mzuri kwa rapa huyu wa MMG pande za state anayekwenda kwa jina la Wale, mara baada ya kupata nafasi ya...

Hii video mpya ya Omarion ‘Body On Me’,vipande vingi alifanyia Afrika...

Kutoka kundi la B2K miaka ya 2000 mpaka kuwa solo artist, rnb staa Omarion anatuonyesha baadhi ya mambo aliyofanya wakati ameenda ‘Cape Town’ Afrika kusini...

Tizama hapa Video Mpya ya AKA -The World Is Yours

Mwaka 2017 umeanza kivingine kwa AKA na hii ni video yake mpya inayokwenda kwa jina la 'The World Is Yours'. Video hii Imetayarishwa na...

New Video: Diamond Platnumz ft Ne-Yo – Marry You

Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, video ya Diamond Platnumz ya wimbo wake, Marry You aliomshirikisha Ne-Yo imetoka. Kwa mara ya kwanza video hii...

Video: Ty Dolla $ign & Wiz Khalifa – Brand New

Msanii Ty Dolla $ign na Wiz Khalifa wameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Brand New”. TGOD, wimbo huu upo kwenye Vol. 1, ikiwa na...

Tizama Video ya Ed Sheeran – ‘Shape of You’

Ed Sheeran ni moja kati ya wana muziki kutokea Uingereza walio fanya vizuri katika game la muziki na kuvunja Record katika chart Kubwa za...

Tizama Video mpya ya Missy Elliott ‘I’m Better’

Missy Elliott amerudi na ladha mpya kwenye masikio yetu, baada ya kutoa wimbo uliotayarishwa na Pharrell “Pep Rally” mwaka jana sasa ametoa “I’m Better.”