Tangazo

Diamond Platnumz, Alikiba na Navy Kenzo wameshinda tuzo za Hipipo 2017 zilizotolewa siku ya Jumamosi 4/2/2017 nchini Uganda.

Kwenye tuzo hizo, Navy Kenzo walitumbuiza.

Hizi ndizo tuzo walizoshinda wasanii hao:

East Africa Best Video – Salome by Diamond Platnumz ft Ray Vanny
East Africa Best New Act – Navy Kenzo
East Africa Super Hit – Unconditional Bae by Sauti Sol & Alikiba
Song of the Year Kenya – Unconditionally Bae by Sauti Sol & Alikiba
Song of the Year Tanzania – Aje by Alikiba
Quinquennial Africa Music Vanguard Award – Diamond Platnumz

AdvertisementMtokambali 728x90