Tangazo

Kiumeni Moja kati ya Movie Mpya zinazosubiriwa kwa hamu sana na mashabiki wa Movies hapa Bongo na Africa mashariki kwa Ujumla. Ndani ya Movie hii wanapatikana Wasanii Maarufu sana katika tasnia hii ya filamu kama Vile Mhogo mchungu, Mchekeshaji Indriss Sultani, Irene Paul na Antu na wengine weengi.

Movie Hii inatarajiwa Kuachiliwa rasmi ifikapo Mwezi March kuanzia  tarehe 17 mpaka 31.

Nifuate twitter

AdvertisementMtokambali 728x90