Tangazo

Kutoka kundi la B2K miaka ya 2000 mpaka kuwa solo artist, rnb staa Omarion anatuonyesha baadhi ya mambo aliyofanya wakati ameenda ‘Cape Town’ Afrika kusini kupitia video yake mpya ya “BDY On Me.”

Wimbo una ladha iliyofanana na wimbo wa Next wa mwaka 1997 “Too Close.”

Album mpya ya Omarion inaitwa #Reasons

AdvertisementMtokambali 728x90