Tangazo

Jim Jones na Jay Z wameingia katika biashara ya pamoja. Taarifa hizi ziliwekwa wazi jana kupitia mtandao wa Twitter na zaidi ya yote Jim nae akapost Katika acount yake instagram nakuthibitisha Jambo hili baada ya Kuonekana akiwa na Roc Nation’s Vic Medina.Dili hili limefanya lile beef walilokua nalo wakali hawa wawili yaani Jim na Jay Z kwa zaidi ya mwongo mmoja kupotelea mbali na badala yake wameamua kufanya Biashara pamoja.

Mtandao wa TMZ umeripoti kwamba ROCK NATION sasa ndio wenye Dhamana ya kusimamia kazi zote za Jim ikiwa ni pamoja na Movie na zile za Fashion.

We Fly High hit maker Jim amewathibitishia rappers wengine kwamba inawezekana kabisa kwa rapper ambao walikua na Beef hapo awali kuachana na beef zao na kuondoa tofauti zao na Kufanya tena Mambo mazuri kwa pamoja tena.

AdvertisementMtokambali 728x90