Ifahamu simu Mpya Blackbery KeyOne
Tangazo

Yawezekana hii ikawa taarifa poa sana kwako ewe mtumiaji na mpenzi wa simu janja(Smartphone) aina ya Blackbery. Hivi majuzi huko TORONTO Canada, kampuni ya TLC ambayo ilinunua hakimiliki ya utengenezaji wa simu zinazotumia jina hilo kwa ushirikiano na kampuni mama ya BlackBerry walitangaza ujio wa Simu janja ijulikanayo kama Blackbery KeyOne.

Awamu hii blackbery wamekuja na utofauti katika design ya simu zao na hili limeonekana pale ambapo Blackbery Keyone imekuja na KeyBord ya aina yake.Simu hii inakuja na teknolojia ya kuvutia ambayo BlackBerry walishaanza kuitambulisha, unaweza kutengeneza ‘shortcuts’ za mambo mbalimbali ya kwenye simu hii kwa kutumia Keyboard zake. Mfano unaweza weka mpangilio (setting) ya kufanya app kama Uber kufunguka pale utakapobonyeza na kushikilia herufi U katika keyboard.

Specification zake-Blackbery KeyOne!

Inajulikana pia kwa jina la Blackbery Mercury.

Network Technology GSM / HSPA / LTE
2G bands GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G bands HSDPA 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100
4G bands LTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 13(700), 17(700), 20(800), 28(700), 38(2600), 40(2300) – EMEA
LTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 12(700), 13(700), 20(800), 25(1900), 26(850), 28(700), 29(700), 30(2300), 41(2500) – US v2
LTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 13(700), 17(700), 19(800), 20(800), 28(700), 29(700), 30(2300), 38(2600), 39(1900), 40(2300), 41(2500) – Canada, LATAM, APAC, US v1
Speed HSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE-A Cat9 450/50 Mbps
GPRS Yes
EDGE Yes
Launch Announced 2017, February
Status Coming soon. Exp. release 2017, April
Body Dimensions 149.1 x 72.4 x 9.4 mm (5.87 x 2.85 x 0.37 in)
Weight
Keyboard QWERTY
SIM Nano-SIM
– Capacitive touch 4-row BlackBerry keyboard
Display Type IPS LCD capacitive touchscreen, 16M colors
Size 4.5 inches (~55.6% screen-to-body ratio)
Resolution 1080 x 1620 pixels (~434 ppi pixel density)
Multitouch Yes
Protection Corning Gorilla Glass 4
Platform OS Android OS, v7.1 (Nougat)
Chipset Qualcomm MSM8953 Snapdragon 625
CPU Octa-core 2.0 GHz Cortex-A53
GPU Adreno 506
Memory Card slot microSD, up to 256 GB
Internal 32 GB, 3 GB RAM
Camera Primary 12 MP, f/2.0, phase detection autofocus, dual-LED (dual tone) flash
Features 1/2.3” sensor size, 1.55µm pixel size, geo-tagging, touch focus, face detection, HDR, panorama
Video 1080p@30fps
Secondary 8 MP, 1.12 µm pixel size, 1080p
Sound Alert types Vibration; MP3, WAV ringtones
Loudspeaker Yes, with stereo speakers
3.5mm jack Yes
– Active noise cancellation with dedicated mic
Comms WLAN Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, WiFi Direct, hotspot
Bluetooth v4.2, A2DP, LE, EDR
GPS Yes, with A-GPS, GLONASS, BDS
NFC Yes
Radio FM radio
USB Type-C 1.0 reversible connector, USB On-The-Go
Features Sensors Fingerprint (front-mounted), accelerometer, gyro, proximity, compass
Messaging SMS, MMS, Email, Push Email, IM, BBM
Browser HTML5
Java No
– Fast battery charging: 50% in 36 min (Quick Charge 3.0)
– MP3/WAV/eAAC+/FlAC player
– DivX/Xvid/MP4/H.265 player
– Photo/video editor
– Document viewer
Battery Non-removable Li-Ion 3505 mAh battery
Misc Colors Black

 

Bei yake

Simu hii inayotegemewa kuanza kupatikana mwezi wa nne mwaka huu itauzwa kwa Dola 549 za Kimarekani, hii ni takribani Tsh 1,227,000/=. Hii ni pesa nyingi sana na suala la bei ndilo lilokuwa kikwazo kwa matoleo mengine kadhaa ya Android ambayo BlackBerry wenyewe walitoa katika kipindi cha miezi 24 iliyopita.

Haya sasa wahenga walisema [clickandtweet handle=”” hashtag=”” related=”” layout=”” position=””]ukiona vya elea ujue vimeundwa[/clickandtweet].

AdvertisementMtokambali 728x90