Tangazo

Rapa Kendrick Lamar  ametoa video mpya ya “King Kunta” iliyotayarishwa
na director  X iliyofanyika kwenye mitaa aliyozaliwa ya Compton. Album
yake mpya To Pimp a Butterfly bado ipo namba moja kwenye chati za Billboard 200 ambayo mpaka sasa imeuza kopi 447,000.

AdvertisementMtokambali 728x90