Tangazo

christinamilianlilwayne
Rapa Lil Wayne amesema yupo tayari kutoa album yake mpya ya “Free Weezy Album” mwezi wa nne mwaka huu 2015.

Lil Wayne anasema album itatoka kama solo projet yake mwenyewe ikiwa
ni ya pili baada ya Sorry 4 Tha Wait iliyotoka January baada yakushindwa
kutoa Tha Carter 5.

Wayne ambaye ni Bosi wa kundi la Young Money, amemuweka wazi mpenzi
wake mpya, Christina Milian, ambaye ni mmoja wa wanachama wa kundi hilo
analoliongoza. Baada ya kuweka wazi habari hiyo, Wayne kupitia mtandao
wa Twitter, aliandika, “Samahani kwa kusubiri muda mrefu kujua nini kinaendelea, kwa sasa hakuna tena maswali nikiwa na Christina, huyu ni mpenzi wangu.”

AdvertisementMtokambali 728x90