Amber Rose na Wiz Khalifa walivyotangaza kurudiana
Tangazo

Amber Rose na Wiz Khalifa warudiana. ‘Mavi ya kale hayanuki’ msemo huu unakuja sanjari na tukio hili lililotokea siku ya ijuumaa mara baada ya Mwanamama Umber Rose kutangaza kuachana na aliyekua mpenzi wake Val Chmerkovskiy na Kuamua kurudiana na Baba mtoto wake Ex wake Wiz Khalifa.

Amber Rose ’33’ na Wiz Khalifa ’29’ wana mtoto mmoja mwenye miaka mitatu ‘Sebastian’ walionekana wakipeana mabusu kwenye redcarpet ya party ya Clive Davis ya pre-Grammy mjini Los Angeles.

(Tizama List nzima ya Washindi wa Tuzo za Grammys 2017, Adele na Drake watisha)

Mtokambali Nifuate twitter

AdvertisementMtokambali 728x90