MMG

Je unahitaji kumili blog ama website ya kisasa kwa gharama nafuu?

Jibu la swali lako ninalo hapa siku ya leo. Nitakusaidia kutengeneza blog yako kwa gharama nafuu ambapo mimi Hutonilipa bali utalazimika kulipia kiasi kidogo cha Fedha kwa ajili ya Hosting Pamoja na Domain name yako.

Niamini nina uzoefu mkwa wa kazi hii na moja kati ya kazi zangu ni blog hii ambayo nina miliki mimi mtokambali.com na Kazi nyingine ni ile ya njibahoo.com nyingine ni ile ya Zilipendwa

Wasiliana nami leo kupitia anwani Zifuatazo:-

Barua Pepe: mawere@mtokambali.com

Simu #: +255767322193 au +255621359204