Tangazo

Mwanzilishi wa mtandao maarufu wa Wikileaks, Gavin MacFadyen (76)
amekutwa amefariki Jumamosi ambapo  chanzo cha kifo chake bado
hakijajulikana.

Mtandao wa Wikileaks umekuwa ukiibua mambo mbalimbali ya siri ya mgombea  urais wa Marekani, Hillary Clinton. 

Wengi hawajayaamini kifo chake ambacho kimewastua na kuumiza mioyo
ya watu wengi hasa pale wanapomkumbuka marehemu kama mwanzilishi wa
kituo cha habari za uchunguzi (Centre for Investigative Journalism)
mwaka  2003 ambapo wanahabari wengi wakubwa duniani wamejifunza hapo.

AdvertisementMtokambali 728x90