Tangazo

Mchezaji Paul Pogba baada ya kuishi kwenye hoteli ya Lowry kwa zaidi ya miezi sita tangu aliposajiliwa na Manchester United mwanzoni mwa msimu huu, amefanikiwa kununua nyumba ya kifahari yenye thamani ya paundi milioni 3.49.

Imedaiwa kuwa nyumba hiyo ipo katika eneo la Cheshire na ina vyumba vitano vya kulala, bwawa la kuogelea, eneo kubwa la wazi pamoja na vitu vingine. Tazama picha za nyumba hiyo hapa chini.

AdvertisementMtokambali 728x90