Penzi la Jennifer Lopez na Drake lavunjika
Tangazo

Jennifer Lopez amethibitisha kuachana na Drake wiki chache baada ya penzi lao kuwa wazi kwa mashabiki wa muziki na maisha yao.

J lo ’47’ ametumia istagram yake kuweka ujumbe tofauti kuhusu kuachana na staa huyu. Maneno haya ni pamoja na “Timing is everything. If it’s meant to happen, it will, and for the right reasons,”.

Baada ya ujumbe huu J Lo aliamua kuweka video akiimba wimbo wa Nat King Cole wa mwaka 1954 “Smile,”unaohusu wapenzi kuachana.

Mpaka sasa hatuja sikia wimbo wa Drake Na J Lo uliotajwa kutoka baada ya ukaribu wa wasanii hawa

AdvertisementMtokambali 728x90