Tangazo

Germany France Plane Crash
 Mtandao wa Bongo5.com
umepata nafasi ya kupokea pichaz Exclusive kutoka kwenye harusi hii
ambayo imefungwa kwenye ardhi ya nchi ya Mauritius kwenye mwisho wa
mwezi March 2015.

Hii ndoa pia ilishuhudiwa na watoto wao wawili mapacha kama
wanavyoonekana kwenye picha pamoja na marafiki wengine wa familia pamoja
na ndugu ambao idadi yao inafikia 50.

Germany France Plane Crash
Ndoa imefungwa miezi minne baada ya Reginald Mengi kumchumbia Jacky Dubai kwenye siku ya kuzaliwa ya mrembo huyu December 2014.

Germany France Plane Crash

AdvertisementMtokambali 728x90