Young money is Back, Drake, Nick na Lil-Wayne kitu kimoja sasa.
Tangazo

Tunasema Young Money is Back. Lile Kundi maarufu ulimwenguni ambalo lilikua likiundwa na Rappers wakali ulimwenguni kote yaani Nick Minaj, Lil-Wayne pamoja na Drake sasa laimerudi tena.

Ikumbukwe kwamba kundi hili lillisambaratika miaka miwili iliyo pita, mara baada ya kutokuwepo na maelewano mazuri baina ya Rappers hao wenyewe kwa wenyewe(Hapa namaanisha Nick Minaj na Drake mara baada ya Drake kuingia katika mgogoro mkali na aliyekuwa mpenzi wa Nick Minaji kwa wakati ule yaani Mik Mill) na baina ya baadhi ya Rappers hao na Uongozi wao( Namaanisha ugomvi kati ya Lily Wayne na Bird Man).

Sasa bwana wakali hawa mapema jana Juma tano walionekana tena kwa pamoja tena wakiwa na Nyuso za fura kweli kweli.

Nick Minaj akiwa na Drake
Nick Minaj akiwa na Drake

Nick Minaj ndiye aliye anza kutupia picha hizo katika mtandao wa instagram. Taarifa Kutoka TMZ zinadai kwamba Drake ndiye aliyekua chanzo cha wakali hao Kukutana na Kurudiana Tena.

AdvertisementMtokambali 728x90