Samsung waachia simu tatu Galaxy A3, A5 na A7.
Tangazo

Kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya Kielektroniki Samsung wameuanza mwaka 2017 kwa kuachia simu janja(smartphone) tatu kwa wakati mmoja.

Kampuni hiyo yenye makazi yake huko Korea ya Kusini, wametoa simu hizo zenye majina Galaxy A3, Galaxy A5 na Galaxy A7 ambapo zote zina uwezo wa kuzuia maji na Vumbi(water and dust resistance).

Ukubwa wa simu janja hizo ni:-

Galaxy A3: 4.7 inch yenye camera ya Mega Pixel 13 Nyuma na Mega Pixel 8 Mbele

Galaxy A5: 5.2 inch yenye camera ya Mega Pixel 16 Nyuma na Mega Pixel 8 Mbele

Galaxy A7: 5.7 inch yenye camera ya Mega Pixel 16 Nyuma na Mega Pixel 8 Mbele

Watumiaji wote wa simu hizo wataanza kuweka Order zao ifikapo January 20,2017.The new series is designed with a larger memory and expandable storage with microSD support up to 256GB. All of the smartphones are equipped with reversible USB Type-C port for easy connectivity including hassle-free charging

Simu zote hizo zitakua na uwezo wa kubeba Memory hadi 256GB

Kwa Undani wa Simu Hizo Bofya >>HAPA

 

#Mtokambali nifuate twitter @Mawere3

AdvertisementMtokambali 728x90