o confirm, yes I am single -Nicki Minaj
Tangazo

Baada ya kuwa na tetesi za kuachana kwa hiphop Couple ya Nicki Minaj(34) na Meek Mill(29), Jan 5 2017 tumepata kauli ya mwisho kutoka kwa Nicki Minaj kuhusu tetesi hizi.

Kupitia kurasa yake ya Twitter Minaj amethibitisha kuwa ni SINGLE GIRL kwa kuandika maneno haya
To confirm, yes I am single. Focusing on my work & looking forward to sharing it with you guys really soon, Have a blessed New Year.

Meek Mill yeye hajasema chochote juu ya Uhusiano wake huo.

#Mtokambali nifuate twitter @mawere3

AdvertisementMtokambali 728x90