Tangazo

Mwaka 2017 umeanza kivingine kwa AKA na hii ni video yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘The World Is Yours’. Video hii Imetayarishwa na Prince Costinyo & Benza. Kwenye video hii pia anaonekana mpenzi wake, Bonang Matheba.

AdvertisementMtokambali 728x90