Tangazo

Kampuni ya twitter imeanzisha huduma mpya ambayo itawaruhusu watumiaji wake Kwenda moja kwa moja LIVE kama wafanyavyo mitandao mingine kama vile Facebook, Youtube na Instagram.

Mwanzoni watumiaji wengi wa twitter walikua wakiamini kwamba Mtando wa Periscope ambao teyari ulikua ukifanya huduma hii ulikua unamilikiwa na Twitter lakini safari utaweza kwenda LIVE/MUBASHARA kupitia App ya twitter.

Twitter yaanzisha Live stream Video kama Facebook, Youtube na Insta

Huduma hii itapatikana kwa watumiaji wote wa Android na  iOS Siku chache zijazo.

Kwenye blog ya twitter walieleza kwamba Kipindi utakapokua LIVE, kila mtu twitter ataweza kujiunga nawe na kushiriki nawe. Na kama ilivyo kwa Periscope, mtu ataweza Ku-LIKE wakati huo ukiwa LIVE.


Nadhani wale wapenzi wa Twitter hii itakua taarifa njema kwao. Je kwa maboresho haya yataifanya twitter kurudi tena katika viwango vyake? je Kibiashara watapanda tena?? Nifuate twitter @mawere3

AdvertisementMtokambali 728x90