Tangazo

Rapper Big Sean kutokea Detroit pande za USA amaechia tracklist ambayo imeonyesha ngoma ambazo zitakuwepo kwenye album yake mpya “I Decided” ambayo itatoka hivi karibuni.

Zaidi ya yote ni kwamba kuna baadhi ya ngoma ambazo kawashirikisha wakali kama vile Migos ambapo Migos kashirikishwa kwenye ngoma ya “Sacrifices,”, Emminem nae yumo ndani “No Favors.”.

List kamili hii hapa chiniMtokambali follow me on twitter @mawere3
AdvertisementMtokambali 728x90