Tangazo

Ed Sheeran ni moja kati ya wana muziki kutokea Uingereza walio fanya vizuri katika game la muziki na kuvunja Record katika chart Kubwa za Muziki Ulimwenguni kama Vile chart za billboard.

Mwaka huu ameweka rekodi mpya ya kuwa msanii wa kwanza duniani kuweka nyimbo mbili kwa wakati mmoja kwenye topten ya chati za billboard ametoa video mpya ya wimbo wake ulioweka rekodi hiyo “Shape of You.”

AdvertisementMtokambali 728x90