Tangazo

Yawezekana ukawa ni mwaka mzuri kwa rapa huyu wa MMG pande za state anayekwenda kwa jina la Wale, mara baada ya kupata nafasi ya kufanya Collabo na mkali Lil Wayne kutokea label kubwa YOUNG MONEY ambapo ni hivi majuzi tuu alirudi kundini.

Video inakwenda kwa jina la Running Back. Itazame video hiyo kisha kumbuka kuwashirikisha wana Kitaa kwa kadiri uwezavyo.

AdvertisementMtokambali 728x90