Tangazo

lamar 34
Rapa Kendrick Lamar amedhibitisha kuwa amemvalisha pete ya uchumba
mpenzi wake wa muda mrefu Whitney Alford. Kendrick na Whitney walisoma
wote shule ya sekondari na ni marafiki wa muda mrefu.

Hii ndio interview ya Kendrick lamar kwenye kipindi Power 105.1  “The Breakfast Club” jana.

AdvertisementMtokambali 728x90